Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,134
- 7,573
Hahah! Anne anajua kubold sana naomba azuiwe kutoa hizo taarifa maana ataua wanachana wenzake kwa magonjwa ya Moyo
Hakuna anayemkaribia humu
Labda SYB, ankoo na moud ambao bado sijaona picha zao..
Japo sidhani maana wachaga hawanaga mpinzani [emoji91]
Asante sana broUsijari bro, ntakuwekea sehem nyingine, hilo lisikupe shaka kabsa..
Hahah umenikumbusha mbali bro,kile kipindi tunakuja na Shiro hapa, nilikuwa mgeni Jf,sema mlitupokea vizuri sana kuanzia hapo tumekuwa familia moja yenye upendo,aman utani wa hapa na pale, kifupi tunafurahi kuwa kwenye uzi huu!!
Asante bro, ntakucheki leo usiku kwenye ile mida yetu!!
Miye kinara wenu humu. Seventi faivu parefu sana aisee. Hasa kwa sisi wanaume wa Kiafrika...Sisi watatu ni vikongwe tulishazeeka tangu kitambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Mkokaa ana nywele za kishombe hivi
Nashindwa kuweka link babe ngoja ninge ajeZa kikorea bebi ake
Hiyo mida sijui nilikuwa wapi aisehJana saa nne usiku tumekutafuta bila mafanikio
Yaani watoto wa 80's mnasemaje?[emoji1787][emoji1787]Miye kinara wenu humu. Seventi faivu parefu sana aisee. Hasa kwa sisi wanaume wa Kiafrika...
Wewe nadhani bado unachezea midi 40s...
Ankoo wa Mwakaleli naye labda leti 40s
Wadogo zangu wa mbaaaaliiii hata mngeweza kuwa wanangu kabisa kama ningejidamka...
Yaani mimi leo nimelazwa hospitali[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Anne anajua kubold sana naomba azuiwe kutoa hizo taarifa maana ataua wanachana wenzake kwa magonjwa ya Moyo
Kwendeni hukooSisi watatu ni vikongwe tulishazeeka tangu kitambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya weekend hayo, mimi nilikuja hapa kwaajili ya SPST kama nilivyo ahidiHiyo mida sijui nilikuwa wapi aiseh