Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Babe, asante kwa kunishtua....na maujinga yangu kucheka cheka kila muda ila jama anapenda michango yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia hii inahitaji watu wapole, wenye furaha, wasiojikweza, wacheshi, wenye upendo na wasiokasirika kasirika hovyo. Vyote hivi unavyo TH. Mbona mtu asikukubali?
 
[emoji144]
IMG_20200315_155431.jpeg
 
[emoji854][emoji854][emoji120]
Kuna comments zako nakutanaga nazo huko mitaani zinafikirisha sana utafikiri una PhD ya Falsafa...au siyo andaeitini....

Uko vizuri sana apusiteazi [emoji1547][emoji1547][emoji1547]

Naomba siku moja nibahatike kuona picha yako aisee. Hapa na kule kwa Mshana huwa napishana nazo dah! Hata leo nasikia we na bae wako mmeweka ila nimepishana nazo ezi yujo [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nimeikosa kosa picha yako bro....na konekisheni sina dah!

Huwa natamani sana kukuona mdogo wangu...Unazo busara sana na tangu uingie kwenye uzi huu na Shiro wako umezidi kujiimarisha na kujijengea heshima kubwa.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Usijari bro, ntakuwekea sehem nyingine, hilo lisikupe shaka kabsa..

Hahah umenikumbusha mbali bro,kile kipindi tunakuja na Shiro hapa, nilikuwa mgeni Jf,sema mlitupokea vizuri sana kuanzia hapo tumekuwa familia moja yenye upendo,aman utani wa hapa na pale, kifupi tunafurahi kuwa kwenye uzi huu!!

Asante bro, ntakucheki leo usiku kwenye ile mida yetu!!
 
Sitakosa hiyo mida...
Mnategea mida network inasumbua ndio mnajirusha na kufuta shwaini nyie...leo siachwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom