Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo lakini jamii lugha inajua kuwa kama ni beautiful basi ni lazima awe mwanamke; na kama ni mwanaume basi atakuwa ni handsome ambayo kwa Kiswahili pia ni mzuri. Lugha ni mfumo tata unaotegemea vitu vingi katika jamii ili kufikisha maana vikiwemo muktadha na utamaduni wa jamii. Kuna wakati tafsiri sisisi hazitoi maana kusudiwa...Beautiful si mzuri kwa kiswahili