moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Me sio under 18 😀Kuna comments zako nakutanaga nazo huko mitaani zinafikirisha sana utafikiri una PhD ya Falsafa...au siyo andaeitini....
Uko vizuri sana apusiteazi [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Naomba siku moja nibahatike kuona picha yako aisee. Hapa na kule kwa Mshana huwa napishana nazo dah! Hata leo nasikia we na bae wako mmeweka ila nimepishana nazo ezi yujo [emoji24][emoji24][emoji24]
Ongea na mwenyewe
Babu maparachichiSitakosa hiyo mida...
Mnategea mida network inasumbua ndio mnajurusha na kufuta shwaininyie...leo siachwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongea na mwenyewe
Nanyanyaswa Mimi humu ndani[emoji24]Saint Anne umeona?
Iko wapi?Saint Anne umeona?
😀😀 lia mdogo wangu labda utaonewa huruma
Ujio wako unanikumbusha kipindi Anko TH anafika huku, yaani maparabo ya kiupweke upweke, kujinyong'onyesha kwingi hadi kijana wa kipare Bradha akajitolea kumpokea kwa faraja...Kabisa kabisaaaView attachment 1389035
Umemfichia Tender Lips
Bae wangu sio mbwa. Probably nikiipata corona na yeye ataipata tu 😀😀😀
Kaweka emoj na nusu 😀😀
AsanteUjio wako unanikumbusha kipindi Anko TH anafika huku, yaani maparabo ya kiupweke upweke, kujinyong'onyesha kwingi hadi kijana wa kipare Bradha akajitolea kumpokea kwa faraja...
Isingekuwa tabia za Davet kudandia dandia bila hata kusoma vibao labda leo hii tungekuwa tunafurahia mengine...
Karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa nchi yetu Tanzania.Bae wangu sio mbwa. Probably nikiipata corona na yeye ataipata tu [emoji3][emoji3][emoji3]
#mataninacoronayamezidi
#watuhawanahatahofu