Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584208255298.jpeg
 
Naisikiaga hiyo michezo ya Machame[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji443][emoji443][emoji443]Parapanda italia parapanda...[emoji445][emoji445][emoji445]

Marehemu alikuwa papaa/bilionea wa madini na makampuni ya utalii. Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa. Jina lake lihimidiwe [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Ujio wako unanikumbusha kipindi Anko TH anafika huku, yaani maparabo ya kiupweke upweke, kujinyong'onyesha kwingi hadi kijana wa kipare Bradha akajitolea kumpokea kwa faraja...
Isingekuwa tabia za Davet kudandia dandia bila hata kusoma vibao labda leo hii tungekuwa tunafurahia mengine...
Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom