Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ujio wako unanikumbusha kipindi Anko TH anafika huku, yaani maparabo ya kiupweke upweke, kujinyong'onyesha kwingi hadi kijana wa kipare Bradha akajitolea kumpokea kwa faraja...
Isingekuwa tabia za Davet kudandia dandia bila hata kusoma vibao labda leo hii tungekuwa tunafurahia mengine...
Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dunia hii inahitaji watu wapole, wenye furaha, wasiojikweza, wacheshi, wenye upendo na wasiokasirika kasirika hovyo. Vyote hivi unavyo TH. Mbona mtu asikukubali?
[emoji7][emoji7][emoji7]Huwa nafarijika sana kukumbushwa vile nilivyo,mpaka nakosa maneno ya kuandika Bagheshi.....upole umezidi[emoji4]
 
Ujio wako unanikumbusha kipindi Anko TH anafika huku, yaani maparabo ya kiupweke upweke, kujinyong'onyesha kwingi hadi kijana wa kipare Bradha akajitolea kumpokea kwa faraja...
Isingekuwa tabia za Davet kudandia dandia bila hata kusoma vibao labda leo hii tungekuwa tunafurahia mengine...
Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah, maparabo ya kipweke pweke.. Bradha asante sana kwa kunipokea, bila kumsahau capitalpool....ila we Davet uache kudandia[emoji23]
 
Back
Top Bottom