Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee

,Mkokaa umeniwahi nimeshindwa Hadi kuquote.

Aisee nadiriki kusema humu ndani hakuna mwanaume mzuri Kama Mkokaa.

Hata kale ka Trent sijui Alexander akaingii[emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilkuwa nasubiri tu utengue kauli juu ya Trent[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais anapotia saini haina maana yeye ndiye aliyeua ni mamlaka ya nchi ndiyo iliyotimiza wajibu huo.
Hivi kama yule mama wa Arusha aliyeua msichana wa kazi anastahili kuishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua ndiyo Ni Sheria inamtaka atie.
Ila nikisikia huwa hatii..na akitia huwa hawauliwi.
Hivi hili Lina ukweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom