Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ungeona ule mkono wa Kd ulivyojaa[emoji7]Yaani mimi leo nimelazwa hospitali[emoji23][emoji23][emoji23]
#nikoICU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeona ule mkono wa Kd ulivyojaa[emoji7]Yaani mimi leo nimelazwa hospitali[emoji23][emoji23][emoji23]
#nikoICU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza Mkokaa ana nywele za kishombe hivi
Aisee usoni ndio usiseme[emoji91][emoji91]
Davet like kono[emoji91],nadhani gf wake huwa analishika kila muda
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄 poleYaani mimi leo nimelazwa hospitali[emoji23][emoji23][emoji23]
#nikoICU
Afrika wanasema hata Corona kikija na moto kitamalizwa nguvu na joto...Tuombe iwe hivyo vinginevyo wahenga aisee tutapukutika sana uwiiiii....Other African countries that reported cases of the disease are Morocco, Tunisia, Egypt, Algeria, Senegal, Togo, Cameroon, Burkina Faso, the Democratic Republic of the Congo (DRC), South Africa, Nigeria, Ivory Coast, Gabon and Ghana. Most of the countries' totals are still in single figures.
Dah!Mambo ya weekend hayo, mimi nilikuja hapa kwaajili ya SPST kama nilivyo ahidi
Eti tender lips. Sijui hata nimewaza nini....#TenderLips
#Amazingskin colour
Basi ata mimi nilipiga chabo nikamkuta anatamba mwenyewe nikaona nifanye mengine tuDah!
Kuna mida nilipita nikamkuta mzee wa tmk pekeyake nikaondoka
Mkono ulivyonona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anne bhana
Enhee endelea kumwaga sifa basi
Kusema kweli Afrika tutapukutika mnoo, ni bora iwe kweli wanachokisema kuhusu jotoo ndio tutapona pona......wenzetu naona wako serious mnoo!Afrika wanasema hata Corona kikija na moto kitamalizwa nguvu na joto...Tuombe iwe hivyo vinginevyo wahenga aisee tutapukutika sana uwiiiii....
Kwa wenzetu huku hakuna kwenda job kwa wiki mbili nzima eti wakipima zali. Kazi zote ni conferencing na simu. Vyuo na mashule yote masomo mitandaoni. Total panic yaani. Toilet papers hakuna na kutumia maji hawa watu hawawezi. Sijui itakuwaje...
KOREAN DRAMAS WORLD™ 🇰🇷Ndio mzee mwenzake[emoji3]
Hii ilinishinda aisee
Korea Dramas 😍🤗🙈[emoji3][emoji3] ni add basi[emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] Asantee....[emoji23][emoji23] acha utundu THKOREAN DRAMAS WORLD[emoji769] [emoji2406]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti tender lips. Sijui hata nimewaza nini....
Ninge naye Ni Moto wa kuotea mbali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunichoma roho basi
Basi tulipishana hiyo midaBasi ata mimi nilipiga chabo nikamkuta anatamba mwenyewe nikaona nifanye mengine tu
[emoji4][emoji7]Asantee Admin