myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hii sio sawa kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Kila mtu inabidi apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Mie nilikua nataman umeme ukatike prepo isiwepo ila haikuwah tokea
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Itakua ndugu mtaalamu
Salam za usiku kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23] kama vile kusoma ni faida ya mwalimuMie nilikua nataman umeme ukatike prepo isiwepo ila haikuwah tokea
Numby eeeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna zaidi ya 80,658,175,170,943,878,571,660,636,856,403,766,975,289,505,440,883,277,824,000,000,000,000 aina mbalimbali za kuchanga karata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio ndo maana halisi ya utaisoma nambaNumby eeeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili ipo beyond human senses..Psychologist, Philosophers wameshindwaMpaka sasa haifahamiki ni sababu ipi inayopelekea mpaka tunapatwa na usingizi.
Chanzo: Heathline
Navyopenda Mayai, niko hapa nasubiri[emoji51][emoji39]Inawezekana kupika yai bila kutumia moto pia una uwezo wa kurudisha yai lililochemshwa mwanzo na kuwa katika hali kabla ya kuchemshwa.