Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mpaka kufikia mwaka 2008 Hayati Nelson Mandela na viongozi kadhaa wa Afrika Ya Kusini walikuwa bado wamewekwa kwenye orodha ya magaidi nchini Marekani, Ilikuwa inawabidi kupata kibali maalum kwaajili ya kuingia nchini humo.