Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli[emoji3][emoji2][emoji2] Wanawake tuna hela nyingi, tukiacha mambo mengi ila ndio haiwezekani[emoji849]
I seeMpaka kufikia mwaka 2008 Hayati Nelson Mandela na viongozi kadhaa wa Afrika Ya Kusini walikuwa bado wamewekwa kwenye orodha ya magaidi nchini Marekani, Ilikuwa inawabidi kupata kibali maalum kwaajili ya kuingia nchini humo.
@Davet [emoji849]
Hizo trillioni 10 za ziada zinatoka wapi?Wastani wanawake kipato chao kwa mwaka ni $18 Trilioni lakini hutumia zaidi ya $28 Trilioni kwa mwaka (Duniani).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Davet [emoji849]
Hizi tafiti ni nomaTafiti: Watu wanaopenda vyakula vyenye uchachu/Chungu hupenda kufanya ngono zaidi.
Duh!!Mwaka 2005, Mtu mmoja alijishindia Tsh Milioni 2.3 baada ya kusoma sehemu ya Terms And Conditions' ambayo mwishoni ilikuwa ikimtaka mtu baada ya kumaliza kusoma afanye mawasiliano nao ili kupata zawadi yake. Ilichukua miezi 5 mpaka mtu kujishindia zawadi hiyo ambapo kabla zaidi ya watu 3,000 walifanya manunuzi bila kujua Ofa hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapenda sukari oyee[emoji2088]Tafiti: Watu wanaopenda vyakula vyenye uchachu/Chungu hupenda kufanya ngono zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaHizo trillioni 10 za ziada zinatoka wapi?
Wapo hapa wanadanganyana eti mpaka robo saa ndiyo injini zao zichemke sawasawa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oyeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapenda sukari oyee[emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oyeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapenda sukari oyee[emoji2088]
Hizo ni story za vijiweni ili kila mtu ajione yupo vizuri lakini kiuhalisia hamna kitu hichoWapo hapa wanadanganyana eti mpaka robo saa ndiyo injini zao zichemke sawasawa....