Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Wapenda sukari wana kisukari cha chini chini na athari mojawapo ya sukari nyingi mwilini (kwa wanaume) ni kuwa rojorojo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapenda sukari oyee[emoji2088]
Kuna zaidi ya 80,658,175,170,943,878,571,660,636,856,403,766,975,289,505,440,883,277,824,000,000,000,000 aina mbalimbali za kuchanga karata.
Picha zote nimezichukua 😀😀@Davet [emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona kama Oyee moja ya Uongo[emoji2088][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oyeeee
KhaaaMende ana uwezo wa kuishi hadi Wiki moja akiwa amekatwa kichwa, Kitacho muua ni Njaa.
Mdudu asiye na faida. Hata sijui kwa nini aliumbwa. Kutiana kinyaa tu [emoji36][emoji36][emoji36]Mende ana uwezo wa kuishi hadi Wiki moja akiwa amekatwa kichwa, Kitacho muua ni Njaa.
Na kunywa bichi je??[emoji2088][emoji2088]
Unamaanisha ya kwangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona kama Oyee moja ya Uongo[emoji2088]