Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Hivi nyoka ana faida gani?Mdudu asiye na faida. Hata sijui kwa nini aliumbwa. Kutiana kinyaa tu [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdudu asiye na faida. Hata sijui kwa nini aliumbwa. Kutiana kinyaa tu [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23] anhaa, basi ndo mana wanaume wanapenda vichachuWapenda sukari wana kisukari cha chini chini na athari mojawapo ya sukari nyingi mwilini (kwa wanaume) ni kuwa rojorojo....
Very True
Hapa inaongelewa thukari gari? Nauliza tu, unajua ukiwa MGUMU unakuwa hujui mambo mengi tu! 😀 🏃♂️🏃♂️
Nyoka ni wa muhimu sana kwenye food chain. Ukimwondoa kunakuwa na pengo kubwa sana. Mende ana faida gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona kama Oyee moja ya Uongo[emoji2088]
Sukari ya kuunga kwenye chaiHapa inaongelewa thukari gari? Nauliza tu, unajua ukiwa MGUMU unakuwa hujui mambo mengi tu! [emoji3] [emoji2089][emoji2089]