Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Umeingia kwenye anga za Mwakaleli. Utaomba radhi mpaka ukome leo. Mi kuna siku nilijichanganya weeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mimi nina marafiki ambao sio type zangu kabisa, kumbe wananionea huruma nisije kujinyonga mweeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Masha Allah. Hapa Mwarabu anakuambia; Walahi Nabada ushungu wa moyo! 😀
Inawezekana wewe ndio unawaonea huruma ili wasijinyonge.Mimi nina marafiki ambao sio type zangu kabisa, kumbe wananionea huruma nisije kujinyonga mweeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wao ndio wananionea huruma nisijinyongeInawezekana wewe ndio unawaonea huruma ili wasijinyonge.