moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mhh !!!Mimi nina marafiki ambao sio type zangu kabisa, kumbe wananionea huruma nisije kujinyonga mweeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusalimia wewe kwani? Hivi kati ya mimi na wewe nani mwenye kiherehere?
Kweli leo sina bahati[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]ety harufu ya parachichi.Ankoo umewahi kukutana na harufu ya mwanaume aliye vaa jezi ya asenali mchana wa jua kali? Au unaongelea harufu ya parachichi?
Tuacheni jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usha nianza shwaini zako, unaelewa nini kwani? Nimefanya nini?
Sijui una matatizo gani...
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁Kweli leo sina bahati[emoji41]
😂😂😂😂Nimekusalimia wewe kwani? Hivi kati ya mimi na wewe nani mwenye kiherehere?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanataka kuandika point tu humu,hawataki kuonekana wanaandika ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]Acha nikuwekee maneno ili ieleweke kirahisi mzee [emoji1] mana ukikomaa na huu utetezi wako hutoeleweka kabisa mana hauna mashiko....
Humu kuwa free tu hakuna noma kila unachopost kina maana ilimradi kisiwe matusi au kumdhalilisha mtu....
#Enjoylikes
😂😂😂😂😂😂Watu wanataka kuandika point tu humu,hawataki kuonekana wanaandika ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]
#weendeleanamashuduyakotu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]