Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

La Paz ndio mji mkuu ulio juu zaidi kutoka usawa wa bahari. Kwa sasa joto lake ni sentigredi 6°. Dodoma ni ya 26 ikiwa mita 1120 kutoka usawa wa bahari, joto lake kwa sasa ni 31°C ingawa linaweza kushuka hadi 18°C. (World Atlas)
 
Boanthropy ni tatizo la kisaikolojia linalomfanya muathirika ajihisi ni ng'ombe. Hali hiyo inapelekea aanze kufanya vitu kama wafanyavyo ng'ombe.
Kula majani, kutembea kwa miguu minne, kulia kama ng'ombe n.k. Mfano: Mfalme Nebukadreza (Danieli 4:32-33) (ResearchGate)
 
Carba was here[emoji179][emoji179]
FB_IMG_1575889621770.jpeg
 
Ni vigumu kumkamata sungura kwa kumnyatia kwa sababu anaona karibia kila upande. Macho ya sungura yanaona karibia nyuzi 360 (ya binadamu yanaona 135° tu). Sungura anaona mbele, nyuma kushoto na kulia pasipo kugeuka. Haoni kisehemu kidogo tu ambacho kipo mbele ya pua yake kwa umbali wa kama futi 1. (Animal Net)
 
Back
Top Bottom