Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unakumbuka Kanye West alipanda jukwaani na kumnyang'anya kipaza sauti Taylor Swift baada ya kushinda tuzo kwenye tuzo za MTV mwaka 2009? Basi Taylor Swift kaweka ukutani picha ya tukio hilo na kaandika maneno "Maisha yamejaa vikwazo vidogovidogo" (Buzzfeed)