Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Factitious Disorder: Ni tatizo la akili linalomfanya mtu atamani kuumwa, ajifanye anaumwa au azidishe kuonesha dalili za kuumwa. Mara nyingi anapofanya hivyo anakuwa anakwepa majukumu au anatamani kupata matibabu kwa haraka au anataka watu wengine wamhurumie na kumjali. (Cleveland Clinic)
 
Watafiti wa mahusiano wa mtandao wa Hinge nchini Marekani wameeleza kuwa wanaume wenye sifa wanazozitaka wanawake kwenye mahusiano ni wachache kuliko mahitaji. Wamesema sifa wanazotaka wanawake ni mchanganyiko wa mambo mengi ikiwemo elimu, kipato, wajihi na mvuto wa kimapenzi
 
Factitious Disorder: Ni tatizo la akili linalomfanya mtu atamani kuumwa, ajifanye anaumwa au azidishe kuonesha dalili za kuumwa. Mara nyingi anapofanya hivyo anakuwa anakwepa majukumu au anatamani kupata matibabu kwa haraka au anataka watu wengine wamhurumie na kumjali. (Cleveland Clinic)
I see me 😁
 
Mwaka 2014 serikali ya Burundi ilipiga marufuku kufanya mazoezi ya kukimbia kwa kikundi. Marufuku hiyo ilikuwa na lengo la kuzuia kuzuka kwa vurugu na kuhatarisha usalama wa nchi. Haijulikani kama marufuku hiyo ilishaondolewa kwa sasa. Mtu mmoja mmoja anaruhusiwa kufanya mazoezi. (BBC)
 
Back
Top Bottom