Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkoromije uliyetumia hii kunywea maziwa masunga au maliboto nawe uhenga unakukaribia![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiingia mahali uwe unauliza sio unasifia sifia tuu.Halafu una midomo mizuriii minene, mashallah kwa denda midomo hiyo inakuaga mitamuu
HqhahahaAndjul huyooo
Nlikuwa nataka nidrop out toka zamani,nlikuwa natafuta justification ya kuacha chuo.Ndio,hivi hile ishu yako ukifikia wapi?
Kula likes kwanzaUsiku huo unaingia...
Muambie MamaAsante..ila sifa hizi hazitakuacha salama.....lol!!
Watu wanajipitia tu? Una moyo safi kabisa !My heart is like an open highway
Wanaume wa Dar hatutaki shida... kula ugali wa mtama na muhogo nawaachia wazee wa mikoani.
HahahahahahahaMkoromije uliyetumia hii kunywea maziwa masunga au maliboto nawe uhenga unakukaribia![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Ng'ombe unakuja kuchukua mwenyewe sio swala la hesabuAfadhali umekuja shemeji. Mijibaba midowezi ilikuwa imepamba moto. Halafu nilikuwa nauliza. Una ng'ombe? Wangapi?
Nlikuwa nataka nidrop out toka zamani,nlikuwa natafuta justification ya kuacha chuo.
Nlikuwa inspired na akina Gates,Zuckerberg,Oprah na Dell.I was stupid.
Kumbe waliodrop out na Ku succeed Ni wale walokuwa wana ishu zingine za muhimu.
Baba yangu anajua jina langu la JF.Alivyoona Uzi Alini confront.
Aliniambia niache utoto.
So Ninaendelea na masomo.Right now,with a different perspective on education.Elimu muhimu Sana.Napiga kitabu Kama kawa.
Plans zingine zitafuata.[emoji4][emoji123]
NI ZAMU YETU SASA! KILA KITU NA WAKATI WAKE CHINI YA JUA! Wa kwetu ni wa milele yoteThe great African paradox...Bara tajiri ajabu lakini watu wake masikini wa kutupwa !![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi sumu huu kwa kuunguza chakula