Kweli πππππππ ukiwa na 38 na mimi nitafanya kama yule shabiki wa Simba ambae Moud alimuweka hapa jana
Kweli πππππππ ukiwa na 38 na mimi nitafanya kama yule shabiki wa Simba ambae Moud alimuweka hapa jana
Ndiyo maana nilikuwa sielewi mada..Mara wagemu ya watoto
2009 ni juzi tu kimtazamo ila ukihesabu miaka ni parefuSio juzi bana 2009 huko aaah nyie vitoto sijui mkoje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Sasa ikiamua inaniua tuWewe kimbila uzee uje ufe kwa corona
Magemu tulkuwa tunakumbushia enzi zetuNdiyo maana nilikuwa sielewi mada..Mara wagemu ya watoto
Kumbe nipo na andaeitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa na wewe wa kishua, miaka hiyo ulikuwa na access ya kudownload? Miaka hiyo nilikuwa natumia Nokia hii hapa computer nilikuwa sijui hata inawashwajeSio juzi bana 2009 huko aaah nyie vitoto sijui mkoje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe gym tu kidogo inakukuza.2009 ni juzi tu kimtazamo ila ukihesabu miaka ni parefu
Achana nae huyo mtoto wa 91[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tulia umesahau ile confession yako juzi ee
Andaeitini tumecheza vimadi..Magemu tulkuwa tunakumbushia enzi zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tulia umesahau ile confession yako juzi ee
πππππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#aaahwewe
Hivi na wewe mtoto wa 20 upo kusumbua kabisa!!Achana nae huyo mtoto wa 91
Wewe tena nina uhakika una miaka 23
Ahsante Khantwe,Karibu kwenye familia hii mkuu nakuapia hutojuta. Huku tunajadili chochote kinachojadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππKumbe hapa nipo na watoto wote.
At least khantwe ananipa moyo kuendelea kubaki hapa muda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
We mtoto mbona unanishusha Sana?Wewe tena nina uhakika una miaka 23
πππππππ[emoji23][emoji23][emoji23] nilikua kwenye harakati za mikopo enzi hizo kibonde(R.I.P)alikua moto kuwadhihaki wanachuo wanaolilia mikopo
Karibu sanaAhsante Khantwe,
Nitajitahidi kuwepo hapa.
Beggars can't be choosers