Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Utamuweza Anne wewe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ata hivyo vifo vingine vilivyowekwa hapo ni twakwimu za hiyo miezi miwili Anne
Niko huku kijijini ndani.Upo mbinguni mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaungaje cabbage na nyanya nne. Tena usawa huu ambao nyanya ina bei ya apple, apigwe tu kwa kweli
Hadi mwishoAta hivyo vifo vingine vilivyowekwa hapo ni twakwimu za hiyo miezi miwili Anne
Ee bwani kitunguu bado kipo juu kileleni juzi nimeenda gengeni nimeomba kitunguu cha mia mbili hicho kitu nilichopewa hatariYeap ule uadimu umeanza kupungua na hata vitunguu na karoti nazo zina afya saa hii
Heshima yako mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaungaje cabbage na nyanya nne. Tena usawa huu ambao nyanya ina bei ya apple, apigwe tu kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Utamuweza Anne wewe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
SawaNiko huku kijijini ndani.
Chakula kipo, maji yapo.
Beggars can't be choosers