Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Ee bwani kitunguu bado kipo juu kileleni juzi nimeenda gengeni nimeomba kitunguu cha mia mbili hicho kitu nilichopewa hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa.. nilipewa kama mwezi mmoja wa kumuhudumia mtu, kuingia gengeni nkashindwa kuchagua vitunguu maana kila nachokiona kibovu. Ukiwauliza wanakuambia mvua vitunguu vinaharibika.
Ila at least saa hii japo bei haijapoa sana ila sio vibovu sana