Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200317-WA0013.jpg
 
Hahah! God of War nilikuwa naishia kwenye yule Monster yupo kama Chura aisee sikuwahi kuvuka hapo.....

Vipi kile kipengele ukitaka kuingia adi ujibu Yes au No kule Waptric ulikuwa unaingia?
Hahah! Nimeshajua ulikua unachagua nini 😁😁

Ila umenikumbusha mbali sana bro kipindi hicho pale Kitonga st Upanga nilikuwa napata ugeni kutoka Tabata, Machalii walikuwa wanafata express Music tunashindana Real football
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi magemu yake nshavuta ila ya kitoto shuain zao walinimalizia vocha
Mimi nlikuwa naenda nayo shule kila jumamosi full kuoshea
Yaani kama haya ndio magemu mlikua mnachezea basi muache kujifanya mmekula chumvi nyingi.
 
Back
Top Bottom