Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Du hapo kwa wenye hela zao wanaopenda kujinunulishia mapenzi kiaina [emoji23][emoji23]
Binafsi sinaga lugha chafu za kuwapa, na huwa sipendi kumkwaza mtu. Naendaga nao mdogo ndo nikiona usumbufu (calls,texts ) vinazidi nakupa tu block.
Ukiwa ile jamii ya wale wanaohisi hela zao zinaweza kuwapa chochote watakacho hawa ndio uwa wanafurahia show.
moudgulf
 
KINAPA moja,
Moshi Kilimanjaro
FB_IMG_1584244479249.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguzeni kumeza meza dawa mpaka mnazalisha usugu mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie tu cha kufanya nipunguze huo usugu.
Nna case na panadol zilinizoea vibaya, nikawa sugu nikawa nikimeza hata nne mwili haushtuki.
Ikabidi niachane nazo kwa muda, nimeanza kumeza juz kati hapa ndio ikakubali
 
Back
Top Bottom