Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona eenh?? Mie huwa nawaambia tayari nina mtu vipi uko tayari kushare na mwanaume mwenzio?? Nikijua kwamba wanaume huwa hawapendi kushare wanawake hivyo wakisikia wanajiengua wenyewe!! Japo wengine wabishi hao huwa wanasema hayo ndiyo majibu yetu wadada washayazoea maana huwa hatumaanishi!!
Kwani kumetokea nini Moana ?
 
Mchezaji mkongwe wa zamani wa Blackburn Rovers , New Castle United na timu ya taifa ya England Alan Shearer, anasema, ligi kuu England itafanya kosa la kijinga ikiwa itakabidhi Ubingwa kwa timu ambayo haijakamilisha taratibu za jumla kutwaa Ubingwa huo.
Wafanye yote lakini wasiwape ubingwa wacheza rede. Wafute tu msimu huu tuanze upya mwaka kesho !!!
 
FB_IMG_1584397568819.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sinaga lugha chafu za kuwapa, na huwa sipendi kumkwaza mtu. Naendaga nao mdogo ndo nikiona usumbufu (calls,texts ) vinazidi nakupa tu block.
Ukiwa ile jamii ya wale wanaohisi hela zao zinaweza kuwapa chochote watakacho hawa ndio uwa wanafurahia show.
moudgulf
 
Back
Top Bottom