Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo wazee ndio wanaona Bora wafe[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, bahati mbaya kinga za miili yao zinakua sio thabiti tena.

Ukiona Rais anafunga shule ili hali wamegundua wagonjwa watatu tuu, ujue huu ugonjwa ni hatari sana.

Ulaya napo hawakua serious mwanzoni ila sasa hivi watazidiwa mda sio mrefu na tayari wameanza kufunga mipaka yao na raia wamepigwa marufuku kutoka nje bila sababu za msingi.

Inabidi kuchukua tahadhari.
 
1412869797897_wps_77_Alexis_Sanchez_of_Arsenal.jpg
 
Mojawapo ya sababu ambayo hutajwa kuongeza muda wa kuishi kwa mwanaume ni kuhakikisha unafanya mapenzi vya kutosha. Kwa mujibu wa utafiti mwanaume anaefanya mapenzi sana huongeza miaka 8 zaidi ya kuishi.
Chanzo: Medical Daily
 
Back
Top Bottom