Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Usirudie kurudi nyuma tena.Yaani imebidi nirudi kuangalia picha ya mkono[emoji23][emoji23]
#mkonowakazi
Utageuka jiwe la chumvi mtani.
Salama pande hizo?
Usirudie kurudi nyuma tena.Yaani imebidi nirudi kuangalia picha ya mkono[emoji23][emoji23]
#mkonowakazi
Sahani moja ya chipsi kavu huwa na mafuta yanayokaribia nusu kikombe cha chai sawa na ujazo wa milimita 250. Ulaji wa Chipsi mara kwa mara husababisha magonjwa mbalimbali kama figo, moyo, shinikizo la damu, kisukari na magonjwa mengine ya saratani.
Nahisi kama mwisho wa dunia tuliokuwa tunausubiri miaka mingi ndio ushafika. Maana kila nchi sasa inajifunia ndani kujilinda. Sasa hivi ukiona mtu anasafiri ujue kweli anaulazima wa kufanya hivyo na sio for leisure kama ilivyozoeleka.Hahah! Amna Dunia bado ipo ipo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunasubiri mrejesho mana naimani umetuwakilisha vyema hapo hospital [emoji16][emoji16]
😂😂 hili somo la leo uongoSahani moja ya chipsi kavu huwa na mafuta yanayokaribia nusu kikombe cha chai sawa na ujazo wa milimita 250. Ulaji wa Chipsi mara kwa mara husababisha magonjwa mbalimbali kama figo, moyo, shinikizo la damu, kisukari na magonjwa mengine ya saratani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisa nimegusa msosi pendwa😂😂 hili somo la leo uongo
Hahah! acha mambo ya abuja chalii 😀😀Haina ukweli mzee ni utani tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
KabisaKabla mtu hajalala, hupenda kufikiria vitu ambavyo anatamani vitokee mbeleni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si watakuwa wanatumia ndoo kubwa ya mafuta kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisa nimegusa msosi pendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
NdiooSasa si watakuwa wanatumia ndoo kubwa ya mafuta kila siku
Mmeng’ang’ania chips tu mbona vitumbua vina mafuta hamsemi tena kimoja kina mafuta litaNdioo