Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sawa mkuu
Sawa mkuu
Acha tujifarijiHahah! Amna Dunia bado ipo ipo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swaini
Mtani vitu vingine inabidi tu.Usirudie kurudi nyuma tena.
Utageuka jiwe la chumvi mtani.
Salama pande hizo?
Hapana haipo hivyo bro hii Dunia bado haijafika mwisho, hayo ya watu kijifungia ndani ni swala la muda tu yatapita na kila kitu kitarudi kama zamaniNahisi kama mwisho wa dunia tuliokuwa tunausubiri miaka mingi ndio ushafika. Maana kila nchi sasa inajifunia ndani kujilinda. Sasa hivi ukiona mtu anasafiri ujue kweli anaulazima wa kufanya hivyo na sio for leisure kama ilivyozoeleka.
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1390406
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee immunity system yao iko chini sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahMmeng’ang’ania chips tu mbona vitumbua vina mafuta hamsemi tena kimoja kina mafuta lita
Mara nyingi huwa napata hii feelingDeja vu - hali ya kuhisi kuwa kitu unachofanya/kiona kilishawahi kutokea kabla kwa namna ileile lakini siyo kweli. Mfani; unaongea na mtu kuhusu kitu fulani halafu unahisi ulishawahi kuongelea hicho kitu katika mazingira hayohayo, lakini ukweli ni hujawahi.
I like this.... kumbe hizi nini Vu zipo nyingi? Mimi nilikuwa najua tu ile Deja vuPresque vu - hali ya kutokukumbuka kitu ambacho unakijua kabisa. Mfano; unamuona mjusi lakini hukumbuki kama anaitwa mjusi, unalitafuta jina kichwani bila mafanikio, linakuja na kupotea.
😀😀😀Hahah! acha mambo ya abuja chalii 😀😀
Mimi huwa sipati usingizi kabisaunapolala eneo geni kwa mara yako ya kwanza,upande wako mmoja wa ubongo usiku mzima huwa makini kama tahadhari kwa hatari yoyote itakayoweza kujitokeza.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Katika uso kuna eneo ambalo hutakiwi kuminya chunusi. Hupatikana kati ya pua na mdomo, huitwa Pembetatu ya hatari. Mishipa ya damu eneo hili ina muungano na mishipa ya kwenye ubongo hivyo ukiminya chunusi unaweza safirisha maambukizi hadi kwenye ubongo.
Pole,huwa nalala popote ili mradi kuna amaniMimi huwa sipati usingizi kabisa
Wewe ni chizi[emoji23]
NdioI like this.... kumbe hizi nini Vu zipo nyingi? Mimi nilikuwa najua tu ile Deja vu