Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Me tooMara nyingi huwa napata hii feeling
Me tooMara nyingi huwa napata hii feeling
Kushika nini? 😂Ya kushika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mniadd kwenye hilo groupMe too
Hakyanani imenitokea hii jumamosi nimefika sehemu wanauza matango nikataka niulize bei nikawa nimesahau kabisa jina lake. Nakumbuka nilinunua nikala nikamaliza ndio nikakumbuka jina lakePresque vu - hali ya kutokukumbuka kitu ambacho unakijua kabisa. Mfano; unamuona mjusi lakini hukumbuki kama anaitwa mjusi, unalitafuta jina kichwani bila mafanikio, linakuja na kupotea.
Yes...nilikuwa Mount Meru Hotel napata dinner
Tembea kifua mbereeeeWewe ni chizi[emoji23]
Duh, inanitokeaga...mfano napita mahali napata feeling kuwa nilishawahi kupita katika wakati ule uleDeja vu - hali ya kuhisi kuwa kitu unachofanya/kiona kilishawahi kutokea kabla kwa namna ileile lakini siyo kweli. Mfani; unaongea na mtu kuhusu kitu fulani halafu unahisi ulishawahi kuongelea hicho kitu katika mazingira hayohayo, lakini ukweli ni hujawahi.
I heard the same story... Kwa mtu mzito tu 😭
Me mwenyewe ...uwa ikinitokea naogopa sanaDuh, inanitokeaga...mfano napita mahali napata feeling kuwa nilishawahi kupita katika wakati ule ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina madhara?Deja vu - hali ya kuhisi kuwa kitu unachofanya/kiona kilishawahi kutokea kabla kwa namna ileile lakini siyo kweli. Mfani; unaongea na mtu kuhusu kitu fulani halafu unahisi ulishawahi kuongelea hicho kitu katika mazingira hayohayo, lakini ukweli ni hujawahi.
Nikajua inatokea kwangu tuDeja vu - hali ya kuhisi kuwa kitu unachofanya/kiona kilishawahi kutokea kabla kwa namna ileile lakini siyo kweli. Mfani; unaongea na mtu kuhusu kitu fulani halafu unahisi ulishawahi kuongelea hicho kitu katika mazingira hayohayo, lakini ukweli ni hujawahi.
Nimeenda sahivi hawapo 😂😂😂Ningekuwa Chuga nahisi ningekuwa na hawa jamaa 😁😁View attachment 1390393
Nimependa mwisho wa hii storyHakyanani imenitokea hii jumamosi nimefika sehemu wanauza matango nikataka niulize bei nikawa nimesahau kabisa jina lake. Nakumbuka nilinunua nikala nikamaliza ndio nikakumbuka jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Now si 2020 jamani 😩On a serious note wanasema kuna mzinga wa jiwe unakuja kuipiga dunia 2019. Uwezekano wanasema ni asilimia 75 japo imefanywa kuwa ni siri kubwa....
😆😆😆 basi itakuwa Police walishawatawanyishaNimeenda sahivi hawapo 😂😂😂
Jagi la maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kushika nini? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]jinga sana weweTembea kifua mbereeee
Nikiupata naenda kupiga chafya pale uhamiaji
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 na mimi niliwaza hivyo hivyoJagi la maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We haya tu....me mafua tu ya kawaida uwa yananilaza, huyo corona si ntakufa ghafla tuWe mwenyewe imekutoa. Muda mrefu ulikuwa hujakaa hapa namna hii. Umesikia tu Mount Meru kimenuka tayari huyoo umekuja kupata faraja hapa.
Usiogope lakini. Hutapata Corona; na hata ukipata wala hutajua kwani itakuwa ni mafua tu ya kawaida. Wasiwasi ni kwa sisi wahenga wenu !!!