Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wanamalizia malizia mambo ya Club kabla ya Corona....
1b122744-a6ec-46e4-b5f6-98d819608fc4.gif
 
Ni kweli mkuu. Wazee wengi kuliko vijana na pia afya zao zimekwishadhoofu ndio maana vifo vingi.
Tena nchi hizo zimejaa wazee mpaka zingine zina negative population growth na wazee ni wengi kuliko vijana kwa sasa. Wazee wamegeuka kuwa mzigo mzito wa kiuchumi kutokana na gharama kubwa za kuwatunza mpaka kuna watu wanaosema ugonjwa huu ni kama neema kwa sababu utazipunguzia nchi hizi mizigo hii ya kiuchumi inayohusiana na matunzo ya wazee...
 
Badala ya haya maneno ya kufarijiana kwanini tusingefunga mipaka mapema.
Kwani wazee wao hawana umuhimu?
Umeanza. Kama siyo kasomi vile. Statistics 101 (mean, range, median...mengine sikumbuki [emoji16][emoji16][emoji16])

Ndiyo. Nadhani average ya umri wa waliokufa China ni miaka 69 kama sikosei japo pia lazima kuna vighairi kwa sababu afya za watu ni suala tata; na wakati mwingine mtu anaweza kuwa mgonjwa wala asijue. Ugonjwa huu ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo, kisukari na hata BP...na yote haya mtu unaweza kuwa nayo na usijue andaeitini ukajikuta unaondoka.

Italia pia nadhani wastani wa waliokufa ni 70+. Marekani pia umeua wazee wengi waliokuwa kwenye nyumba za kulelea wazee kule Seattle na marehemu kijana ana miaka 64.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Shwaini zake anafikiri ile ni kazi nyepesi kwa balance ya mguu mmoja.
Aendelee kulea wajukuu tu. Kigilagila sijui ndio hali ikoje kama utakuwa umewatembelea?
Mungu ni mwema tuendelee kumtegemea kwa kila jambo [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Amina ankoo[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Badala ya haya maneno ya kufarijiana kwanini tusingefunga mipaka mapema.
Kwani wazee wao hawana umuhimu?


Sent using Jamii Forums mobile app
Haya siyo maneno ya kufarijiana. Mimi simfariji mtu. Nasema tu wanasayansi wanavyosema kuhusiana na huu ugonjwa.

Suala la kufunga mipaka mapema bila shaka wenye mamlaka hayo wanaweza kukupa maelezo yao japo nalo siyo suala rahisi namna hiyo kama unavyodhani. Ndiyo maana hakuna nchi iliyokurupuka tu na kufunga mipaka yake hata kabla ya kuwa na mgonjwa hata mmoja.
 
Badala ya haya maneno ya kufarijiana kwanini tusingefunga mipaka mapema.
Kwani wazee wao hawana umuhimu?
Umeanza. Kama siyo kasomi vile. Statistics 101 (mean, range, median...mengine sikumbuki [emoji16][emoji16][emoji16])

Ndiyo. Nadhani average ya umri wa waliokufa China ni miaka 69 kama sikosei japo pia lazima kuna vighairi kwa sababu afya za watu ni suala tata; na wakati mwingine mtu anaweza kuwa mgonjwa wala asijue. Ugonjwa huu ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo, kisukari na hata BP...na yote haya mtu unaweza kuwa nayo na usijue andaeitini ukajikuta unaondoka.

Italia pia nadhani wastani wa waliokufa ni 70+. Marekani pia umeua wazee wengi waliokuwa kwenye nyumba za kulelea wazee kule Seattle na marehemu kijana ana miaka 64.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tukio la Asteroid ndio tutegemee kuokolewa na wamba kama Bat man, Spiderman, Hulk, Herry Potter, Superman, Wakanda, Captain America, Wonder woman na wengine wengi kama Ben 10
On a serious note wanasema kuna mzinga wa jiwe unakuja kuipiga dunia 2029. Uwezekano wanasema ni asilimia 75 japo imefanywa kuwa ni siri kubwa....
 
Back
Top Bottom