Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Huyu mimi kabisa, mwanzoni ilipotajwa niliona kama ni suala ambalo halinihusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mimi kabisa, mwanzoni ilipotajwa niliona kama ni suala ambalo halinihusu
Duh mkono wa mkaka aliyeshiba sasa ongeze na choklet mambo ni fireee
[emoji16][emoji16] aiseeDuh mkono wa mkaka aliyeshiba sasa ongeze na choklet mambo ni fireee
Wote waliokufa China immune system zao zilikuwa weak?Corona haina mortality rate kubwa namna hiyo. Inaua sana wazee na watu ambao wana magonjwa tayari na ye yote ambaye immune system yake imekuwa dhaifu. Kama mtu uko mzima huumwagi umwagi hovyo na bado uko andaeitini utaishia kupata mafua tu.
Aaaa wapi. Ingekuwa hivyo mbona ingekuwa mtafutano? Wengi wanaoipata wanaishia kupata mafua tu na uchovu uchovu pamoja na homa za hapa na pale. Wengine wala hawajui kama wamepata. Wengine wanaugua na kupona na wachache (pengine asilimia 2 hivi) ndiyo wanakufa. Na mara nyingi ni wazee (miaka 60+), wenye afya mgogoro na ambao immune system zao zimeathirika.
🙂🙂🙂Izi harakati za mtu mweusi,wadau wameamua kwenda kula maisha mbele,life la karantini gumu[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza. Kama siyo kasomi vile. Statistics 101 (mean, range, median...mengine sikumbuki [emoji16][emoji16][emoji16])
Aisee mhenga mie wacha nijifungie, nilikuwa nawahofia watoto wangu wanaoenda shule kila sikuAaaa wapi. Ingekuwa hivyo mbona ingekuwa mtafutano? Wengi wanaoipata wanaishia kupata mafua tu na uchovu uchovu pamoja na homa za hapa na pale. Wengine wala hawajui kama wamepata. Wengine wanaugua na kupona na wachache (pengine asilimia 2 hivi) ndiyo wanakufa. Na mara nyingi ni wazee (miaka 60+), wenye afya mgogoro na ambao immune system zao zimeathirika.
Ingekuwa na mortality rate ya 80% kama Ebola ingekuwa mtafaruku sana. Kwenu vijana kama uko fiti wala hakuna sababu ya kuwa na hofu sana. Chukueni tu tahadhari za kawaida msije mkatuambukiza wahenga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Simple like that
Ndio maana ulya wanakufa wengi sababu wazee wapo?Aaaa wapi. Ingekuwa hivyo mbona ingekuwa mtafutano? Wengi wanaoipata wanaishia kupata mafua tu na uchovu uchovu pamoja na homa za hapa na pale. Wengine wala hawajui kama wamepata. Wengine wanaugua na kupona na wachache (pengine asilimia 2 hivi) ndiyo wanakufa. Na mara nyingi ni wazee (miaka 60+), wenye afya mgogoro na ambao immune system zao zimeathirika.
Ingekuwa na mortality rate ya 80% kama Ebola ingekuwa mtafaruku sana. Kwenu vijana kama uko fiti wala hakuna sababu ya kuwa na hofu sana. Chukueni tu tahadhari za kawaida msije mkatuambukiza wahenga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ngoja nikutafutie data za Ulaya. Kaa hapo hapo usiondoke naja ....Ndio maana ulya wanakufa wengi sababu wazee wapo?
Ni kweli mkuu. Wazee wengi kuliko vijana na pia afya zao zimekwishadhoofu ndio maana vifo vingi.Ndio maana ulya wanakufa wengi sababu wazee wapo?