Kubali kuwa umepitwa
Kubali kuwa umepitwa
Haha ndio, nimebaki kushangaa tu. Watoto wa shule wamegaiwa bureNmerudi leo nakuta watu wamevaa 😷
POLE
Me nilikuwepo
DahHili tukio la Asteroid ndio tutegemee kuokolewa na wamba kama Bat man, Spiderman, Hulk, Herry Potter, Superman, Wakanda, Captain America, Wonder woman na wengine wengi kama Ben 10
Bora uiskie tu kwenye simu lakini ukikutanana watu wakiwa na hizo mask unakuwa na wasi wasi sanaHaha ndio, nimebaki kushangaa tu. Watoto wa shule wamegaiwa bure
Ushafikisha picha ngapi kwenye gallery
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Wanaona hospitali wanawapotezea tu muda, shwain zao baada ya muda watajikuta wodi moja na mganga wao
Taarifa nyingine zinachekesha sana, sasa hao mafala wameenda wapi jamani?View attachment 1390218
Ninazo tatu tu[emoji26][emoji26]Ushafikisha picha ngapi kwenye gallery
Mkwepu kula likeIzi harakati za mtu mweusi,wadau wameamua kwenda kula maisha mbele,life la karantini gumu[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
WoyoooooooIzi harakati za mtu mweusi,wadau wameamua kwenda kula maisha mbele,life la karantini gumu[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muombe mkwepuNinazo tatu tu[emoji26][emoji26]
Naomba uniongeze yako full moja pulizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii corona inatisha mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii corona inatisha mkuu
Mkwepu 🙃🙃Izi harakati za mtu mweusi,wadau wameamua kwenda kula maisha mbele,life la karantini gumu[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app