Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dd3a6624-67e1-487d-a7c3-4d6128546cf7.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukana tu ili utoe nyongo mwilini....

Usijilinganishe na hawa wakubwa [emoji16][emoji16][emoji16]

Hawa walipoona ugonjwa umeanza badala ya kutumia vipimo vya Wachina/Wakorea/Wajapan waliamua kutengeneza vya kwao. Wana tabia hiyo. Safari hii kumbe vipimo walivyotengeneza vilikuwa na hitilafu. Ndipo hapo moto umewaka unamuona rais wao anahaha sana kwa sababu watu wanahisi kuwa kosa hilo limesababisha madhara makubwa kwa kutojua walioambukizwa tayari...imebidi watumie vya Wachina japo na vyao wanasema viko tayari.

Sisi hatuko siriazi katika karibu kila kitu tunachofanya. Kwa nini ulitegemea tuwe makini katika hili wakati mambo mengine yote tunayafanya Kiswahili swahili tu?
Wacha na hili tulifanye hivi hivi
Turudi kwenye salamu za mitama..tukatane mitama hadi tudondoke.

Ningekuwa na uwezo wa kurudisha wakoloni watutawale ningefanya hivyo
Maana bado sisi Ni mazezeta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aki ya Nani
Wewe Leo Ni wa kuniambia dunia duara..subiri,baadaye tu utapitwa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom