Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahView attachment 1390065
Huyu anafikiri mchezo? Italia wenyewe pamoja na kuwa na mfumo bora wa afya tena kwa raia wote mochwari zimejaa maiti sembuse Zimbabwe?
Screenshot_20200312-182647.jpg
 
Kwani picha zote inabidi zipitie kwako?[emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia duara[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aki ya Nani
Wewe Leo Ni wa kuniambia dunia duara..subiri,baadaye tu utapitwa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulichokisubiri kimetimia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiroho una maoni gani kuhusu kizaa zaa hiki? Ni dhambi tumezidisha? Ni dalili za kurudi kwa masihi kama mwenyewe alivyotuambia? Tunaweza kujikomboa kwa kurudi katika kweli kama wakazi wa Ninawi walivyofanya baada ya kupigwa mkwara na Yona? Au kwa vile ni dalili za kurudi kwa Bwana basi hatuna la kufanya?
 
Back
Top Bottom