Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Najichekesha tu hapa lakini naogopa...ni heri corona ingekuwa inaambukiza kwa ngono zembe lkn sio jamani 😩😩
Depal wa magorofaniUliona?!! Si haukuwepo wewe jamani 😅
😂 😂 😂 😂 jiraniiii......Chezea depal,location tulivuuuu
Unavyotoa taarifa sasa utadhan comedy. Shuain zake corona tunakosa uhondo wa mpira soon movie mpya nazo zitasimamaPiga kelele kwa corona akee...weuweee 😀
Jamani mtuombee, nasikia kuna mgonjwa Mount Meru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahKijijini tulikuwa tuna yagonga gonga kwa style ya ka....ro, linakuwa linajitoa kwenye mashavu yake na kujitokeza nje kichwa chake na tumanyoya pembeni yake... Ilikuwa raha kwelikweli hasa baada ya kukatika mvua kuna vimaji maji vilikuwa vinatoka ndani...
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ila sikuambiwa nitoe maelezo yote hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina umri zaidi ya miaka 50 mbali tu ya kutowahi kuota ndoto naongea kizungu,sijawahi hata kuota achana na kukaa karibu na mzungu, hata kupishana nae kitaa... Maskini mimi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Me sina la kuongea maana nipo mjini kabisa 🙌Unavyotoa taarifa sasa utadhan comedy. Shuain zake corona tunakosa uhondo wa mpira soon movie mpya nazo zitasimama
Khaaa we dada!! 😀😀 unanisingizia sasaDepal wa magorofani
Kwan ni leo umeanza post picha za home cheiiii
Kitu gani tenaYummy yummy yummy yummy yummy
👍 👍 👍Hata akiwa na rangi kama hii tu halafu awe amesoma soma basi kazi unayo. Tena afadhali siku hizi wanachukua hela. Enzi zangu mwishoni mwa miaka ya 60 aisee bila ng'ombe hupati mke. Mambo yamebadilika sana....View attachment 1389903
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahWaTz tuna utani mwingi kama sio ufala 😀
Kuna mtu mmoja kaandika "karibu nchini corowise na pole kwa uchovu wa safari ndefu 🙌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hufai