Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tafiti: Watu wote ambao unawaona katika ndoto yako, Umewahi kukutana nao mahala fulani katika maisha halisi, Hauwezi kuota ndoto ya watu wageni.
😂😂😂😂 kukiwa na tafiti nzito nzito kama hizi kuna kitu huwa kinanisukuma kuLoginUmeibukia wapi wewe in bwana jiwe's voice[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata akiwa na rangi kama hii tu halafu awe amesoma soma basi kazi unayo. Tena afadhali siku hizi wanachukua hela. Enzi zangu mwishoni mwa miaka ya 60 aisee bila ng'ombe hupati mke. Mambo yamebadilika sana....Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitaala(mke zaidi ya mmoja).
Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahali ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20. Hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa Binti mweupe.
Brazil hawa mullatoes mchanganyiko wa weusi na Wareno aisee ni habari nyingine. Tena wana maumbo ya Kibantu kabisa. Venezuela pia ni fayaaa halafu warahisiiiii....[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mataifa yanayoongoza Duniani kwa kuwa na Wanawake wenye muonekano mzuri zaidi.
10. Brazil
9. Argentina
8. Ufilipino
7. Australia
6. Afrika Kusini
5. Sweden
4. Puerto Rico
3. India
2. Marekani
1. Venezuela
Utafiti huu bila shaka unategemeana na utamaduni wa watu. Kuna tamaduni gitaa ni alama ya mkosi !!!Tafiti: Una nafasi kubwa ya kutokukataliwa kupewa namba ya msichana uliyekutana nae njiani kama utakuwa umshika/umebeba gitaa.
Hiyo kama Movie ya Wahindi niliiweka kundi moja na ile ya Mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa cheche mto ndani ya kisiwa chenye mto ndani ya kisiwa chenye mto ndaniya kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto.......Wa games kuwekwa idara sawa na machizi
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana kiongozi wetu haishagi kupasifia kumbe tuna akili moja nae😂😂😂😂 kukiwa na tafiti nzito nzito kama hizi kuna kitu huwa kinanisukuma kuLogin
HeheheheheHiyo kama Movie ya Wahindi niliiweka kundi moja na ile ya Mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa cheche mto ndani ya kisiwa chenye mto ndani ya kisiwa chenye mto ndaniya kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto.......
😂😂
Aiseeee if u dieee u dieeeeeBrazil hawa mullatoes mchanganyiko wa weusi na Wareno aisee ni habari nyingine. Tena wana maumbo ya Kibantu kabisa. Venezuela pia ni fayaaa halafu warahisiiiii....[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuna mmoja hapa alikamatwa mwaka jana kwa kuiba blender yenye thamani ya dola 18. Wakamtia ndani kuja kugundua jamaa ni bilionea na wiki kama mbili tu zilizopita kabla alikuwa amenunua kisiwa binafsi huko Bahama kwa dola milioni 16....Watu wenye uwezo kifedha (Matajiri) ndio wanao ongoza kwa kuiba katika maduka huku wakijifanya kununua bidhaa (Shoplift).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata akiwa na rangi kama hii tu halafu awe amesoma soma basi kazi unayo. Tena afadhali siku hizi wanachukua hela. Enzi zangu mwishoni mwa miaka ya 60 aisee bila ng'ombe hupati mke. Mambo yamebadilika sana....View attachment 1389903
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wana matatizo hawa watu,si angeinunua tu kuliko kuibaKuna mmoja hapa alikamatwa mwaka jana kwa kuiba blender yenye thamani ya dola 18. Wakamtia ndani kuja kugundua jamaa ni bilionea na wiki kama mbili tu zilizopita kabla alikuwa amenunua kisiwa binafsi huko Bahama kwa dola milioni 16....
Acha tu hizo vitu hazikwepeki 😁[emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana kiongozi wetu haishagi kupasifia kumbe tuna akili moja nae
Nilishawahi kufika huko bageshi. Nagahaya gutola mulato wape nonu wa madako matale masebu....Rio De Janeiro....Aiseeee if u dieee u dieeeee
Duh kumbeUtafiti huu bila shaka unategemeana na utamaduni wa watu. Kuna tamaduni gitaa ni alama ya mkosi !!!