Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1584292871137.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafiti hizi za TWAWEZA hazihitaji kupingwa kwa tafiti aisee. Sayansi ya siku hizi imeingiliwa sana na objectivity hakuna. Anayemlipa mtafiti au interest za mtafiti ndizo zinaamua matokeo. Ndiyo maana leo utasoma utafiti unasema kunywa kahawa kunasababisha kansa na shinikizo la moyo (mtafiti kafadhiliwa na makampuni ya chai). Kesho tena unasoma utafiti unasema kunywa kahawa kunaongeza urefu wa maisha na kuimarisha afya ya moyo (mtafiti kafadhiliwa na makampuni ya kahawa). Sayansi ilikuwa enzi za akina Newton, Galileo na Einstein siyo hii ya sasa inayotawaliwa na pesa. Ila yote kwa yote kuwafikisha kileleni muhimu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sentensi ya mwisho ndio ya msingi sasa zingine zote pumba tu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom