Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Komamanga ni moja ya matunda ambayo huweza kusaidia kuongeza kiwango cha homoni za kiume (testosterone).🔵Huzuia kimeng'enya aromatase ambayo huvunja testosterone kuwa estrogen🔵Pia huzuia inflammation na kusaidia korodani zitengeneze testosterone kwa wingi
 
Mchezo wa kitaifa wa Uingereza ni Kriketi na sio Mpira wa Miguu. Mpira wa Miguu ni mchezo pendwa/maarufu nchini humo, Licha ya Kriketi kuwa mchezo wa Kitaifa lakini hakuna timu ya taifa kama ilivyo kwenye soka bali timu ya taifa hutengenezwa kwa kuungana na nchi ya Wales.
 
Ikiwa watu wangu,Walioitwa kwa Jina langu ,wakijinyenyekeza na kuomba na kuutafuta uso wangu; na kuacha njia zao mbaya ;nami nitasikia kutoka mbinguni na kuiponya nchi Yao.

Mambo ya nyakati wa pili
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200316-073446~2.jpg
 
MAPERA NA MAJANI YAKE1. Lina vitamin C,A,B2,E,K na madini2. Hushusha presha3. Majani ya mpera huondoa sumu mwilini,pia huzuia kuharisha4. Hutibu vidonda vya mdomoni/fizi5. Husafisha figo na damu6. Huponya majeraha haraka*Kula tunda au saga unywe juisi
 
Back
Top Bottom