carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
@Davet nakusalimia[emoji16][emoji16][emoji16]Kulala wakati fulani mchana huongeza stamina, huamsha ubunifu, hupunguza mkazo (stress) na kuboresha nguvu za tendo la ndoa.
@Davet nakusalimia[emoji16][emoji16][emoji16]Kulala wakati fulani mchana huongeza stamina, huamsha ubunifu, hupunguza mkazo (stress) na kuboresha nguvu za tendo la ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Davet nakusalimia[emoji16][emoji16][emoji16]
Nakumbuka mwaka jana mwanzon mama yangu alikatwa mguu sababu ya kisukari.Takwimu zinaonyesha watu 4000 hukatwa miguu kila mwaka kutokana na kisukari.Jikinge kwa[emoji117] Kupunguza uzito/kitambi[emoji117] Kuzingatia Lishe Bora[emoji117] Kufanya mazoezi[emoji117]Kupima afya mara kwa mara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheeeeiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hutaki?
Tafiti za numby zimesema mnatakiwa kumwaga mara 21 kwa mwezi ujue[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Pole sana. Babu yangu alifariki kwa kisukari alikonda balaa mateso ya kutosha.Nakumbuka mwaka jana mwanzon mama yangu alikatwa mguu sababu ya kisukari.
Huu ugonjwa huu[emoji22][emoji22]
Sijakosea Sana kumbe.
Naona mkosi wa jana bado unaniandama[emoji23][emoji23]Tunahakikisha tu kama ule mkono una ile saa yetu alafu tunapitisha [emoji38][emoji38][emoji38]
Huyu aliamua kujitenga mwenyewe ,je wale wanaoingia mitaani kimya kimya tutapukutika balaa
Bahati nzuri msimuliaji anne nae imempita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona mkosi wa jana bado unaniandama[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kijijini tulikuwa tuna yagonga gonga kwa style ya ka....ro, linakuwa linajitoa kwenye mashavu yake na kujitokeza nje kichwa chake na tumanyoya pembeni yake... Ilikuwa raha kwelikweli hasa baada ya kukatika mvua kuna vimaji maji vilikuwa vinatoka ndani...
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ila sikuambiwa nitoe maelezo yote hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza na hali ya hospitali zetu zilivyo,najikuta magoti yanaisha nguvuPiga kelele kwa corona akee...weuweee [emoji3]
Jamani mtuombee, nasikia kuna mgonjwa Mount Meru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheeeeiiii
AsantePole sana. Babu yangu alifariki kwa kisukari alikonda balaa mateso ya kutosha.
Tutakufa kama mende.Huyu aliamua kujitenga mwenyewe ,je wale wanaoingia mitaani kimya kimya tutapukutika balaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Bahati nzuri msimuliaji anne nae imempita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugonjwa hatariAsante
Huu ugonjwa kama jinamizi.
Mwaka juzi mwishoni shem wangu alifariki kwa kisukari,yaani ni balaa na nusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo panapofariji
Hapa nilipohamia ukivuka barabara tu kuna wagonjwa wawili wamegundulika jana. Mkisikia kimya aisee muimbe tu ule wimbo pendwa wa [emoji443][emoji443] parapanda italia parapanda and the Don himuselfu will be no more. Nimeishi maisha marefu siwezi kulalamika ila kufa bado naona noma aisee. Jizazi pulizi heeeelpu. Hata ukisema niache kupenda misambwanda nitaacha [emoji1545][emoji1545][emoji1317]Piga kelele kwa corona akee...weuweee [emoji3]
Jamani mtuombee, nasikia kuna mgonjwa Mount Meru
Hatare hasa tunaotumia daladala. Nadhani ummy aliogopa yasije mpata yaliyompata mwele so akasubiria ruhusa ya boss kwanzaTutakufa kama mende.
Naona wameficha wee hadi sasa cases zimeongezeka ndo wameamua kutangaza,shuaini zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba urudie somo,kd hataki kuelewa