Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Coribaby...corinara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga kelele kwa corona akee...weuweee [emoji3]
Jamani mtuombee, nasikia kuna mgonjwa Mount Meru
Nini?[emoji24][emoji24]Bahati nzuri msimuliaji anne nae imempita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona na boss katoa ruhusaHatare hasa tunaotumia daladala. Nadhani ummy aliogopa yasije mpata yaliyompata mwele so akasubiria ruhusa ya boss kwanza
Hapa nilipohamia ukivuka barabara tu kuna wagonjwa wawili wamegundulika jana. Mkisikia kimya aisee muimbe tu ule wimbo pendwa wa [emoji443][emoji443] parapanda italia parapanda and the Don himuselfu will be no more. Nimeishi maisha marefu siwezi kulalamika ila kufa bado naona noma aisee. Jizazi pulizi heeeelpu. Hata ukisema niache kupenda misambwanda nitaacha [emoji1545][emoji1545][emoji1317]
😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahView attachment 1390065
Aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahView attachment 1390065
MtakomaPiga kelele kwa corona akee...weuweee 😀
Jamani mtuombee, nasikia kuna mgonjwa Mount Meru
Eti mrejesho. Shemeji bana. Mrejesho gani tena?Usisite kutupa mirejesho hatua kwa hatua....
Tupate uzoefu kutoka kwako...
Sikuombei lakini.
Nani aliweka picha humu wakati sipo,?[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unalia nini sasa?
Ishapita hiyooooooo
Watu wanautani sana[emoji23][emoji23]Aki ya Nani
Waafrica aliyeturoga alishakufwa[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaaaa..[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo panapofariji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha
Kwani picha zote inabidi zipitie kwako?[emoji23][emoji23][emoji23]