Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464924092_287262.jpg
 
Kiroho una maoni gani kuhusu kizaa zaa hiki? Ni dhambi tumezidisha? Ni dalili za kurudi kwa masihi kama mwenyewe alivyotuambia? Tunaweza kujikomboa kwa kurudi katika kweli kama wakazi wa Ninawi walivyofanya baada ya kupigwa mkwara na Yona? Au kwa vile ni dalili za kurudi kwa Bwana basi hatuna la kufanya?
Narudi kwenye ule mstari wa asububi
Ikiwa watu wangu.....

Lakini pia Mungu alitupa akili,ufahamu na maarifa..tumeshindwa kuzitumia.
Kulikuwa na haja gani ya kuachia mipaka na Hali tuliona hatari???
Wacha mapenzi ya Mungu yatimizwe kama atakavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom