Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Unaamini kuwa kuziba mipaka ndiyo kungezuia ugonjwa usiingie? Labda kama kupunguza sawa....Narudi kwenye ule mstari wa asububi
Ikiwa watu wangu.....
Lakini pia Mungu alitupa akili,ufahamu na maarifa..tumeshindwa kuzitumia.
Kulikuwa na haja gani ya kuachia mipaka na Hali tuliona hatari???
Wacha mapenzi ya Mungu yatimizwe kama atakavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 eti husaidia kuongeza ubunifu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba urudie somo,kd hataki kuelewa
Utampatia simu muuguzi wako atujulishe, haitapendeza tukikupoteza kimya kimya.Eti mrejesho. Shemeji bana. Mrejesho gani tena?
Miaka 75 hii nikikamata Corona nitapona kweli? Labda kwa muujiza tu [emoji1545][emoji1545]
Hata mtu wa kunianzishia sredi humu hakuna aisee. Dah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Utampatia simu muuguzi wako atujulishe, haitapendeza tukikupoteza kimya kimya.
Kungezuia ndiyo.Unaamini kuwa kuziba mipaka ndiyo kungezuia ugonjwa usiingie? Labda kama kupunguza sawa....
Marekani walizuia mapema watu wote kutoka China lakini wengi wanaokuja nao ni raia wanaotoka huko nje. Hata huyu wa kwetu ni raia kaja nao....
Nilikuwa nategemea jibu lililoshiba kidogo kutoka kwako Mama Mchungaji [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]