Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
50+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi kamba hizi
Sasa wanafunga Nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kungezuia ndiyo.
Wangezuia kila mtu akae alikokaa huu ugonjwa usingefika.
Na assume huu ugonjwa ungekuwa umeanza Africa..mabara mengine usingefika kabisa.
Umetupata kwa tamaa zetu na njaa zetu za kijinga.
Namalizia na Hosea 4:6 Kama sijakosea
Watu watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Ni ujinga Sana kuandaa mazingira ya kujenga ukuta badala ya kuziba ufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga kelele kwa corona akee...weuweee [emoji3]
Jamani mtuombee, nasikia kuna mgonjwa Mount Meru
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nakuja kujitolea....
Piga kelele kwa corona akee...weuweee [emoji3]
Jamani mtuombee, nasikia kuna mgonjwa Mount Meru
Hii kapo ni shida !!!Siku nyingine wajifunze kutii Sheria bila shuruti.
Hakuna aliye juu ya Sheria..hata kama unaonewa,Ni vema kufwata utaratibu mzuri.
Ukitaka kushindana na jeshi/askari wa magereza kwa nguvu lazima uumie mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Daraja la JKT hilo, hili jitu zima ovyo kweli
Haya Sasa.Kwa hali ya sasa ya maingiliano ya watu kiuchumi na vinginevyo haiwezekani kuzuia watu wasiingie kabisa kabisa eti ukasiliba mipaka yote. Kiuhalisia hilo haliwezekani....