Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f040c4ef-5709-4e5e-b4c4-e9069af34c3f.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walichokitafuta wamekipata.
Tumeambiwa tutii mamlaka tulizonazo duniani..madhara ya kutumia hasira ndio hayo sasa.
Kuvunjika mkono si kazi ndogo,maumivu yake Ni makali sana;waliowahi kuvunjika wataungana na Mimi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si ndiyo wanascore political points?

Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Jitu limetembeza mkia mbele toka Kino hadi Kawe. Daah!
Huyu hata akija anataka nimkopeshe matrekta yangu ya kilimo cha nyanya na dengu nampa kwa sababu najua kuwa atayarudisha bila kukosa. Ni watu wachache wa aina hii [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom