Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
A man of honor and integrity...A man of his word. I salute him [emoji16][emoji16][emoji16]Kweli Daraja la JKT hilo, hili jitu zima ovyo kweli
Safi sana bro, vipi kwema?
Walichokitafuta wamekipata.Hii kapo ni shida !!!
Kweli haina haja ila niliona Kenya baada ya kugundua mgonjwa nchini kwao ndio wakafunga mipaka ya nchi ambazo tayari zina mduduSasa wanafunga Nini?
Wacha sasa tuanze kuapply zile salamu za miguu ,naona tulikumbuka Sana hii michezo ya utotoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya Sasa.
Yafaa Nini kupata hell ambazo tunaenda kufa na kuziacha?
Ila,
Naamini wataalamu wetu wa Tanzania Wana vifaa vya kisasa vya kubaini maambukizi
Na imejipanga thabiti kukabiliana nayo..
Hivi marekani lilivyo taifa kubwa vile..bado Rais wake Ana hofu na hili gonjwa
Lakini
Ngoja tu niishie hapo.
Nisijekamatwa bure maanani natamani sana kutukana
Sent using Jamii Forums mobile app