ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Naamini wataalamu wetu wa Tanzania Wana vifaa vya kisasa vya kubaini maambukiziHaya Sasa.
Yafaa Nini kupata hell ambazo tunaenda kufa na kuziacha?
Ila,
Naamini wataalamu wetu wa Tanzania Wana vifaa vya kisasa vya kubaini maambukizi
Na imejipanga thabiti kukabiliana nayo..
Hivi marekani lilivyo taifa kubwa vile..bado Rais wake Ana hofu na hili gonjwa
Lakini
Ngoja tu niishie hapo.
Nisijekamatwa bure maanani natamani sana kutukana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bi mdashi sijui anaendeleaje huko maana wewe mwenyewe hauminiki siku hizi.Nakumbuka mwaka jana mwanzon mama yangu alikatwa mguu sababu ya kisukari.
Huu ugonjwa huu[emoji22][emoji22]
Tumuachie mwenye tafiti zake aje kujibu 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubunifu gani ety??
#sijuinimewazanini[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa hizi Ni hujuma za wazi kabisa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
AMINAMungu tukinge na CORONA.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaida yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jitu limetembeza mkia mbele toka Kino hadi Kawe. Daah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama naona kengele zikigongana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wako mtaani wanasambaza virusiTaarifa nyingine zinachekesha sana, sasa hao mafala wameenda wapi jamani?View attachment 1390218
🙌🙌 tuchukue tahadhari, n tumuachie Mungu tuNawaza na hali ya hospitali zetu zilivyo,najikuta magoti yanaisha nguvu
😂😂😂😂 unawazaga mbali sana. Daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama naona kengele zikigongana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NdiwoooHivi ni kwamba Zimbabwe walimng'oa Mugabe halafu wakampa huyu jamaa nchi?
Sent using Jamii Forums mobile app