Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Mbona nasikia picha picha...nani kaweka picha
Mbona Walisema wao wenyewe.Naamini wataalamu wetu wa Tanzania Wana vifaa vya kisasa vya kubaini maambukizi
Na imejipanga thabiti kukabiliana nayo..
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hapo pamenifurahisha maana nimeshindwa kusikitika.
Ngoja niishie hapo
Salaam mzee mwenzangu [emoji120][emoji120][emoji120]
Hawawezi kufa wenyewe.Wako mtaani wanasambaza virusi
😀😀😀😀 jinga sana hili totoHawawezi kufa wenyewe.
Ningekuwa Mimi Ni hao..ningeenda kuwapigia chafya wakubwa wetu huko juu
Nakufa kishujaa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Coronial
Coronana
Coronizer [emoji119]
Siwezi kufa mwenyewe kizembe wakati Kuna mipopoma imechangia kwa kiasi kikubwa tu ugonjwa uingie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jinga sana hili toto
Uliachwa na gari leoCpro baby amegoma kabisa kutusikia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu sindikizia na kale kapicha ka kumbembeleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tukio la Asteroid ndio tutegemee kuokolewa na wamba kama Bat man, Spiderman, Hulk, Herry Potter, Superman, Wakanda, Captain America, Wonder woman na wengine wengi kama Ben 10View attachment 1390261
Mambo yanazidi kuwa mengi
Nmerudi leo nakuta watu wamevaa 😷Shenzi 😅😅😅
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Bi mdashi yuko poa sana namshukuru Mungu
Anaongezeka na uzito,juzi ananiambia anataka kuolewa tena[emoji23][emoji23]
Amina ankoo[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taarifa nyingine zinachekesha sana, sasa hao mafala wameenda wapi jamani?View attachment 1390218
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Wanaona hospitali wanawapotezea tu muda, shwain zao baada ya muda watajikuta wodi moja na mganga wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute wameenda kwa mganga wa kienyeji, wamehisi wamerogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi Tanzania tuko busy na shamra za kumpokea corobabyView attachment 1390261
Mambo yanazidi kuwa mengi