Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya siyo maneno ya kufarijiana. Mimi simfariji mtu. Nasema tu wanasayansi wanavyosema kuhusiana na huu ugonjwa.

Suala la kufunga mipaka mapema bila shaka wenye mamlaka hayo wanaweza kukupa maelezo yao japo nalo siyo suala rahisi namna hiyo kama unavyodhani. Ndiyo maana hakuna nchi iliyokurupuka tu na kufunga mipaka yake hata kabla ya kuwa na mgonjwa hata mmoja.
Ila tuko vizuri.
Tuna vifaa vya kisasa..
Mimi Ni Nani niwapinge wataalamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikisimama dirishani na kuliangalia jengo la Mloganzira najikuta nguvu ya miguu yote kuisha.
Sijui tu nawaza nini lakini huyu corona anaweza kumfanya mtu afike tamati ya kuona misambwanda ya duniani...nitaenda kuiona wapi maskini mimi.
Mungu nilinde niendelee kuusifu uumbaji wako hadi hapo mwana Kondoo atakapo rudi tena duniani[emoji120][emoji120] japo nae mwana Kondoo namuombea achelewe kurudi ili anipe nafasi ya kuinjoika na mema ya dunia... "Kizuri kula na mwenzako" asema(ila hayo ni maneno yangu) Bwana wa majeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahaha,

Anko buana.Uumbaji tutausifia tuu.

#uhaiKwanza
 
On a serious note wanasema kuna mzinga wa jiwe unakuja kuipiga dunia 2019. Uwezekano wanasema ni asilimia 75 japo imefanywa kuwa ni siri kubwa....
Dunia imekuwa bize sana wakati huu, Asilimia 75 ni green light kabisa kwa hilo jiwe kuja ila vitu vingine vinakuwa nje ya uwezo wetu kabisa hatuna chakufanya zaidi ya kutoa kauli zilizo jaa jina la Mungu

#Mungutuepushie
#Mungutusaidie
 
Back
Top Bottom