Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
J" ndiyo herufi ya mwisho kujumuishwa katika mfululizo wa Alphabeti kwenye lugha ya kiingereza!
Kazi gani hiyo? 😁Yaani imebidi nirudi kuangalia picha ya mkono[emoji23][emoji23]
#mkonowakazi
Mtihani huu. Mchizi yupo busy na laptop dadekiiBwenini....
View attachment 1390380
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi maalum
#kuchakamayaking
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli, lakini pia nikiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba hata nchi hizo rate ya kuzaa imepungua sana. Hivyo naona kama inweza kuwa fursa kwetu kwenda kusaidia kujenga uchumi na kuongeza population baada ya hili janga.Tena nchi hizo zimejaa wazee mpaka zingine zina negative population growth na wazee ni wengi kuliko vijana kwa sasa. Wazee wamegeuka kuwa mzigo mzito wa kiuchumi kutokana na gharama kubwa za kuwatunza mpaka kuna watu wanaosema ugonjwa huu ni kama neema kwa sababu utazipunguzia nchi hizi mizigo hii ya kiuchumi inayohusiana na matunzo ya wazee...