Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanasayansi huenda wakafanikiwa kurudisha nyuma ukuaji wa binadamu, utafiti umeonesha. Washiriki kwenye utafiti huo walitumia dawa kwa mwaka 1, ambapo umri wao wa kibaiolojia ulirudi nyuma miaka 2.5, ambapo kinga na mifumo ya miili yao iliimarika tofauti na muda ulivyokwenda.
Hii dawa inanihusu kwa kweli
 
Mwezi kamili (Full Moon) umeanza kuonekana tangu jana ijumaa, ni jambo la kawaida lakini utofauti imetokea Ijumaa tena tarehe 13th (Friday 13th) ijumaa yenye tarehe hiyo inatajwa kuwa na maajabu kadhaa. Tukio kama hilo kutokea siku ya Ijumaa yenye tarehe 13th ni mwaka 2049.
 
Kitu kilichotumia muda mrefu zaidi kujengwa ni ukuta wa China, ulianza kujengwa karne ya 7 KK na kukamilika karne ya 17 BK. Hivyo, miaka zaidi ya 2000 ilitumika kujenga ukuta huo wenye urefu wa Km 21196, upana wa mita 5-6 na kimo cha mita 6-7. (UNmuseum)
 
Katika uso kuna eneo ambalo hutakiwi kuminya chunusi. Hupatikana kati ya pua na mdomo, huitwa Pembetatu ya hatari. Mishipa ya damu eneo hili ina muungano na mishipa ya kwenye ubongo hivyo ukiminya chunusi unaweza safirisha maambukizi hadi kwenye ubongo.
 
Hyperion tree' mti unaotajwa kuwa mrefu zaidi duniani, haujulikani eneo sahihi ambalo upo kwaajili ya kuulinda dhidi ya uharibifu wowote ambao unaweza kufanyika japo inasemekana upo katika moja ya misitu huko California. Una urefu wa mita 115 .85
 
Back
Top Bottom